Brand: eBook
Showing the single result
-
MIKAKATI YA KIDIJITALI: Mwongozo wa Sura 10 wa Kutawala Facebook, Instagram na WhatsApp
Original price was: Sh 15,000.Sh 5,000Current price is: Sh 5,000.Add to cart Buy NowJe, umechoka kupoteza bando kuposti kila siku bila kupata wateja? Kitabu hiki kimeandikwa kwa Kiswahili chepesi na cha vitendo na Mtaalamu Omary Mbaraka kutoka (DIMABUE Branding Agency). Kitakusaidia kugeuza simu yako kuwa mashine ya mauzo hata ukiwa umelala!✨ Ndani ya Sura hizi 10 utagundua:
- ✅ Jinsi ya kuandika maneno yanayochomoa pesa mfukoni mwa mteja.
- ✅ Mwongozo wa hatua kwa hatua wa kuweka matangazo ya kulipia (Meta Ads) kwa kutumia simu yako.
- ✅ Siri ya kuseti WhatsApp Business (Greeting & Away Messages) ikujibie wateja kiotomatiki.
- 🔥 BONUS ya Bure: Mifano 3 ya jumbe za matangazo ya kunakili na kubandika!

